LYRICS: Maua Sama – Amen Ft Ben Pol | DOWNLOAD

0
Lyrics Maua Sama Ft Ben Pol - Amen

LYRIC FILE:

 Lyrics DOWNLOAD

INTROO….
Aaah Aaahh   Aaahh 
Aaah….!!
Aaah Aaahh   Aaahh 
Aaah (Yeeeh)!!
Aaahh   Aaahh 
Aaahh  Aaah  Aaah Aaah!! X 2
[AbbaaH]
Verse 1:
Beib Wajuwaaaa, Leo
Ninafuraha  Beibeeh ennh!!!
And You Is All I Want,
And I Don’t Need Some 1 Else
Beibehh..!!!
{Eeennh} BEN POL
Nipe Nipende Kipekee,
Nitunze Kwa Moyo Wote
Nami Mapenzi  Nikupe, Sikuachi Hata Sekunde
{CHORUS}
Nahisia Zangu
Zakuhitaji, Uingiee Moyooni
Nawe uwe Mwanga Wangu
Kumulika,  Unitowee Gizani
Kwa Sababuni, (Niweee
Eehh Eehh Tu) X 2
Nimpendaee (Niwewee
Ennh tu)
Ohh…Dailly
Kwa sababu (Niwewe
wewe tu) X 2, Nimpendae (Niwewe wewetu)
I feal
Hatubariki Amenn!!, Na
Atulinde Ameen!!
Atulinde Amenn!!, Atuongoze
Amenn!!
Milele Yote Amen, Wote
Tuseme Amen!!
[TRUMPETS]
VERSE 2:
Unadhani  Sikufai
Leo Wameshanga, Nisiku
yetu Maaa Bebe.!!
Ndoto imekuwa, Hata
Familia Wana Furahii Maa Bebebe!!
Vile Umeniwai, Wote
Wanigai Shingoni Kama Tai
Taii Taii Ennh!!!
Na Leo Najidaii,
Heshima Ulionipa
Ya Kuwa Muwenzi  wako Milelee
Daimaaah Mamaa Wee
Takulindaa …!! Mamama
Weee
Sina Sababu Mama
Weeee
Yakukutenda
Moyo Wangu Ni Wako
Nime Kukabidhi
Pekeakoo
Weweee…!!!!
Fungua Wa Kwako,
Nifurahie Pendo Lako
REPEAT CHORUS,,
Nahisia Zangu
Zakuhitaji, Uingiee Moyooni
Nawe uwe Mwanga Wangu
Kumulika,  Unitowee Gizani
Kwa Sababuni, (Niweee
Eehh Eehh Tu) X 2
Nimpendaee (Niwewee
Ennh tu)
Ohh…Dailly
Kwa sababu (Niwewe
wewe tu) X 2, Nimpendae (Niwewe wewetu)
I feal
Hatubariki Amenn!!,
Na Atulinde Ameen!!
Atulinde Amenn!!,
Atuongoze Amenn!!
Milele Yote Amen,
Wote Tuseme Amen!!
THE MIX KILLER [JINGLE]…

 

CLICK LINK BELOW (DOWNLOAD AUDIO)

DOWNLOAD AUDIO HAPA: